iqna

IQNA

aal khalifa
Hali ya Bahrain
TEHRAN (IQNA) - Mwanaharakati wa kisiasa wa Bahrain na mtetezi wa haki za binadamu ambaye tayari anatumikia kifungo cha maisha jela ameripotiwa kulengwa na msururu wa mashtaka mapya ikiwa ni pamoja na kuutusi utawala haramu Israel unaozikoloni ardhi za Palestina.
Habari ID: 3476111    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/18

Hali ya Bahrain
TEHRAN (IQNA)- Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, utawala wa Bahrain unatumia sheria za kuwatenga kisiasa wapinzani.
Habari ID: 3476019    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/01

TEHRAN (IQNA)- Februari 14, 2022 inasadifiana na kumbukumbu ya miaka 11 ya mwamko na vuguvugu la watu wa Bahrain dhidi ya utawala wa Al Khalifa.
Habari ID: 3474930    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/14

TEHRAN (IQNA)- Maandamano yamefanyika nje ya ubalozi wa ufalme wa Bahrain mjini London Uingereza kutaka wafungwa wa kisiasa wanaoshikiliwa katika gereza za ufalme huo waachiliwe huru.
Habari ID: 3474560    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/15

TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Bahrain wameandamana kulaani kuuawa shahidi Mohammad Nas, kijana mwanadampinduzi aliyekuwa mfungwa wa kisiasa katika jela za kuogofya za utawala wa kiimla wa Aal Khalifa.
Habari ID: 3474277    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/09

TEHRAN (IQNA) - Mamia ya Wabahrain wamejitokeza kuandamana katika mji mkuu Manama, kumkumbuka mfungwa wa kisiasa ambaye amefariki kutokana na COVID-19 akiwa katika gereza la kuogofya ya utawala wa kiimla wa Aal Khalifa.
Habari ID: 3473994    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/10

TEHRAN (IQNA) - Wakati ukikaribia mwaka wa 10 tokea uanze mwamko wa wananchi wa Bahrain dhidi ya utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini humo, utawala huo dhalimu umeshadidisha ukandamizaji na utumiaji mabavu dhidi ya wananchi wanaotaka mabadiliko.
Habari ID: 3473644    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/12

TEHRAN (IQNA)- Wapalestina wameulaani utawala wa Kifalme wa Bahrain kwa kuanzisha uhusiano na utawala bandia wa Israel.
Habari ID: 3473160    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/12

TEHRAN (IQNA)- Mahakama ya juu ya Bahrain hivi karibuni imeudhinisha hukumu ya kunyongwa vijana wawili wa nchi hiyo kwa kutegemea ushahidi bandia.
Habari ID: 3472872    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/17

TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umelaani vikali hatua ya utawala wa Aal Khalifa huko Bahrian kuwanyonga vijana wawili wapinzani.
Habari ID: 3472065    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/31

TEHRAN (IQNA) - Utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrian umelaanivwa vikali baada ya kuwanyonga vijana wawili raia wa nchi hiyo kwa tuhuma zisizo na msingi za kumuua afisa wa wizara ya mambo ya ndani mwaka 2017.
Habari ID: 3472061    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/28

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain unaendelea kutekeleza sera za ukandamizaji dhidi ya wapinzani ikiwa ni pamoja na kuwanyonga, kuwatesa, kuwapokonya uraia na kuwalazimui kuihama nchi huku mashirika ya kutetea haki za binadamu yakinaani uovu huo ambao umenyamaziwa kimya na Umoja wa Mataifa na nchi za Magharibi.
Habari ID: 3471379    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/03

TEHRAN (IQNA) Jumuiya ya Kiislamu ya Maelewano ya Kitaifa ya Bahrain (Al Wefaq) imelaani hatua ya vikosi vya usalama kuhujumu madhihirisho ya Ashura na kuendelea kuzingirwa nyumba ya mwanazuoni wa Kiislamu Sheikh Issa Qassim.
Habari ID: 3471189    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/24

TEHRAN (IQNA)-Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka Bahrain imuachilie huru mara moja mwanazuoni maarufu wa Kiislamu Sheikh Ali Salman.
Habari ID: 3470937    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/17

IQNA-Utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain umewanyonga vijana watatu kwa madai ya kuupinga utawala wa kiimla katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.
Habari ID: 3470796    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/15

Mahakama ya utawala wa kiimla Bahrain meakhirisha tena kutolewa hukumu dhidi ya Sheikh Isa Qassim.
Habari ID: 3470565    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/16

Mamilioni ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameandamana kote nchini kulaani jinai za tawala za kikoo za Aal Saud huko Saudi Arabia na Aal Khalifa huko Bahrain kwa jinai zao dhidi ya watu wa eneo.
Habari ID: 3470556    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/10

Shirika la kutetea haki za binadmau la Amnesty International limeutaka utawala wa Bahrain usitishe ukadamizaji Waislamu wa Kishia nchini humo.
Habari ID: 3470544    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/02

Utawala wa kiimla wa Bahraini umetumia askari kuwazuia Waislamu kutekeleza ibada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Imam Sadiq (AS) katika kijiji cha Diraz nje ya mji mkuu Manama.
Habari ID: 3470496    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/05

Utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa Bahrain umeendeleza ukandamizaji mkubwa kwa kumvua uraia mwanazuoni mkubwa na mashuhuri wa Kiislamu nchini humo Ayatullah Issa Ahmad Qasim.
Habari ID: 3470404    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/21